Wizara ya kimisri kwa vijana na michezo, "inatangaza udhamini wa Gamal Abd Elnaser kwa Uongozi wa kiafrika "
- 2019-05-08 11:35:26
Wizara
ya kimisri kwa vijana na michezo (uongozi mkuu wa bunge na elimu ya kijamii -
ofisi ya vijana wa kiafrika) inatangaza
udhamini wa Gamal Abd Elnaser wa kiafrika,mnamo kipindi cha tarehe ya 8 mpaka
tarehe ya 22 toka mwezi wa Juni ujao katika Kairo.
Na
udhamini huo unawalenga vijana mia moja (100) toka viongozi maarufu wa nchi
wanachama za Umoja wa kiafrika kama waanzishi wa maamuzi ndani ya sekta ya
kiserikali, viongozi watendaji, katika sekta binafsi, vijana wa kiraia, wakuu
wa mabaraza ya kitaifa kwa vijana, wataalamu wa vyuo vikuu, watafiti wa vituo
vya tafiti za kimikakati na kimawazo, wanachama wa vyama vya kiufundi, na
waandishi wa vyombo vya habari.
Kulingana
na matukio ya Mkutano wa Vijana wa Pili wa kiafrika iliyofanyika katika mji
mkuu wa Ethiopia (Addis Ababa), katika kipindi cha 24 hadi 26 Aprili, 2019 .
Kwa lengo la kuwatolea vijana wa kiafrika kwa njia nzuri. Udhamini wa Gamal Abd
Elnaser ni mmoja wa vyombo vikuu vya kutekeleza mpango wa (Vijana milioni 1 kwa
mwaka 2021), Ambao ilizinduliwa kuwa kuwezesha na kuendeleza vijana barani
Afrika Kupitia Kufundisha vijana milioni moja wa kiafrika Katika nyanja za
Elimu, Ajira , Ujasiriamali na ushirikiano (4 E’s), kwa kufikia mwaka 2021 , na
hayo yote yanayolengwa kwa udhamini wa Gamal Abd Elnaser katika sekta ya Elimu
.
Na
udhamini huo unalenga kuhamisha majaribio ya kimisri ya kale katika kuunda
taasisi za kitaifa, pia kupatikana kizazi kipya cha vijana waongozi wa
kiafrika, wenye mtazamo unaowafikiana na mielekeo ya Urais wa Misri kwa Umoja
wa kiafrika, ambao unaita kwa huduma ya malengo ya Umoja wa kiafrika kupitia
kushirikiana pamoja.
Na
hayo yanaenda sawa sawa na Kuangalia kwa wizara ya vijana na michezo kwa
uongozi wa Dokta Ashraf Sobhi ili; kufanya mchango wake unaohusiana na
kuimarisha jukumu la vijana wa kiafrika ; kupitia kutoa aina zote za msaada na
mafunzo, pamoja na kuwawezesha katika vyeo vya uongozi na kunufaisha toka uwezo
wao na mawazo yao; kulingana na yaliyotangazwa na rais Abd Elfatah Elsisi
kupitia matukio ya mkutano wa vijana wa Ulimwengu, pia kutekleza uamuzi wake
ili kufanya mwaka wa 2019 uwe mwaka wa
Elimu.
Na kwa upande wa masharti, yanawakilisha katika:
1.
Mshiriki lazima awe mwafrika asiye mmisri na
asiyeishi nchini Misri.
2.
lazima pasipoti iendelee kwa miezi 6 baada ya
kuishia udhamini.
3.
lazima awe mwenye lugha ya kiingereza nzuri
sana ( kuizungumza-kuisoma- kuiandika).
4.
lazima awe na uzoefu wa shughuli ya kiraia.
5.
lazima awe mwenye umri toka miaka20 hadi miaka
35.
6.
lazima mshiriki awe na Utambulisho wa nchi
toka za Umoja wa kiafrika au Ughaibuni wa kiafrika.
Inatajwa
kwamba Udhamini wa Abd Elnaser ni Udhamini wa kwanza wa ( kiafrika -kiafrika),
unalenga vijana waongozi watendaji wa kiafrika, wenye vitengo tofauti ndani ya
jamii zao, Nao ni mmoja toka vyombo vikuu vya kuwezesha kwa mabadiliko ya
kiafrika, vilivyoainishwa na ajenda ya 2063; ili kuyaimarisha maadili ya
kiafrika, kupitia kujitegemea,
mshikamano, kazi kwa bidii, ustawi wa pamoja, na kujenga juu ya mafanikio ya
kiafrika na ujuzi, na vitendo vizuri zaidi ili kuunda mfumo wa kiafrika, kwa
mabadiliko na maendeleo. Pia Udhamini huo unazingatiwa mmoja wa vyombo
vya" unyonyaji wa marejeo ya idadi ya watu kupitia Uwekezaji wa vijana
" sawa sawa na Urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika mwaka wa 2019.
Weka kiungo cha fomu ya maombi
Comments