Medali ya fedha na shaba kwa Misri katika siku ya kwanza ya michuano ya ulimwengu kwa mchezo wa karate kwa vijana
- 2019-10-25 13:11:52
Timu ya kitaifa kwa karate ilishinda medali mpili za fedha na shaba katika siku ya kwanza ya mchuano wa ulimwengu kwa karate kwa vijana chini ya miaka 21 , uliozindua leo na uliendelea Mpaka siku ya 27 mwezi wa Oktoba katika senteghao nchini Chaili .
Mohamed Hussen Mohamed alishinda medali ya fedha katika
mashindano ya kata kadet baada ya hasara yake kwa mechi ya fainali mbele ya
mchezaji wa Uturuki ni Farkan Kenar .
Waled Karem alishinda medali ya shaba katika mashindano ya
kata kwa vijana baadaya ushindi wake katika mechi ya medali ya shaba .
Pia mchezaji Shahd Abd
Elrhem alishinda nafasi ya tano katika mashindano ya kata kadet baada ya
hasara yake mechi ya medali ya shaba
.pia mchezaji Mustafa Elghbashy alishinda nafasi ya tano katika
mashindano ya kata mwaka 21 .
Michuano inashuhudia kushirki wachezaji 1557 na wanashikilia
nchi 96 .
Misri inashirki katika mashindano ya nchi kwa ujumbe ni
mchezaji 37 pamoja na kifaa cha ufundi na idara ,mohamed Eldahrawy ni
mwenyekiti wa shirkisho la kimisri kwa karate anaongoza ujumbe .
Comments