Waziri wa michezo anaiheshimu timu ya taifa ya Misri ya Makasia kwa kupata kwake kombe la michuano ya Afrika
- 2019-10-25 13:12:45
Dokta Ashraf Sobhy - waziri wa vijana na michezo aliheshimu timu ya taifa ya Misri kwa Makasia na kwa hudhuria Dokta " Amr Elnori " - mkuu wa shirikisho la Misri la kayaki - na hivyo kutokana na kufikia mwaka kwa wizara ya vijana na michezo ya kupata kombe la michuano ya Afrika ambayo ilifanyiwa nchini Tunisia kupitia kipindi cha 14 mpaka 16 mwezi huu wa Oktoba , kwa ushirikiano nchi za Afrika 12 na zinzovukwa kwa Olimpiki wa tokyo 2020 .
Dokta Ashraf Sobhy
-waziri wa vijana
na michezo - alitoa
pongezi kwa baraza la
usimamizi wa ushirikiano wa Misri kwa
kayaki na wachezaji
wa timu ya taifa wote wanaofikia
nafasi ya kwanza
kwa nshani 18
mbalimbali kwa mujibu
wa medali 8 za dhahabu
, za kifedha 6 , za shaba 4 . Vilevile, alimpia
pongezi mchezaji " Abdel khallaa elbana
" anayefikia Olimpiki
wa Tokyo 2020
kwa kufikia nafasi
ya kwanza .
Waziri wa vijana
na michezo alisema
: " nafurahia sana kwa
matokeo yenu ,
na tunatarajia michuano
zaidi katika kiwangu
cha bara na
dunia. . Na daima
tunafanya juu chini
ili kutoa aina
za msaada zote
na uungaji mkono
kwenu ili kufikia
michuano " .
Dokta Ashraf Sobhy anaendelea kusema : " nazingatia
kila mchezaji mfano
na mwongozo kwa
vijana wa Misri
, nathamani sana juhudi
zinazofanyiwa na wachezaji
katika mchezo huu
hasa , nawaomba kuzidisha mazoezi ili
kuonesha utendaji bora
wakati wa mashindano
yajayo kwa ajili
kuinua jina la
Misri juu na
kuongeza mafanikio kadha kwa
michezo ya kimisri
" .
Comments