Ahmed Ayman na Hazem Ahmed wanashinda medali ya kidhahabu katika mashindano ya dunia ya vijana wa karate


Mchezaji wa timu ya kitaifa ya karate Hazem Ahmed alishinda medali ya kidhahabu katika mashindano ya uzani zaidi ya 76 k.m ( vijana chini ya umri wa miaka 18) katika mashindano ya dunia kwa vijana na chini ya umri wa miaka 21 yanayofanyika katika kipindi cha 23 hadi 27 mwezi wa Oktoba katika Santiago huko Chile


Na Ahmed alishinda medali ya kidhahabu baada ya ushindi wake katika mechi ya fainali kwa Binjamin Noniz mchezaji wa Chile kwa 3:0


Na Ahmed alikuwa amemhakikisha kazi muhimu katika mashindano ambapo alishinda katika mechi zake zote kwa kikundi cha kwanza dhidi ya mabingwa wa Colombia , Azabajani , Ujerumani , uhispania na Yordani 


Na Ahmed Ayman lotfy mchezaji wa timu ya kitaifa ya karate alishinda medali ya kidhahabu katika mashindano ya uzani chini ya 61 k.m 

( vijana chini ya umri wa miaka 18) 


Na lotfy alishinda medali ya kidhahabu baada ya ushindi wake katika mechi ya fainali kwa Husseni Mamadly mchezaji wa Azabajani kwa 2:1 


Na lotfy alikuwa amemhakikisha kazi muhimu katika mashindano ambapo alishinda katika mechi zake zote kwa kikundi cha pili dhidi ya mabingwa wa Kuwait, Ukraine, Thailand , China na Scotland na mashindano yanashuhudia ushiriki wa wachezaji 1557 kwa wanawake na wanaume wanawakilisha nchi 96 . Na Misri inashiriki katika mashindano kwa ujumbe unaoundwa na wachezaji 37 kutoka wanawake na wanaume pamoja na kifaa cha kiufundi na cha utawala na mkuu wa shirikisho la Misri la karate Mohammedi Eldhahrawy anaongoza ujumbe

Comments