Shirikisho la Soka la Misri limefunua shati
mpya ya timu ya taifa ambayo itavaliwa wakati wa misimu minne ijayo, kulingana
na mkataba na shirika la kimataifa “Puma” , tangu mwaka huu hadi mwisho wa 2022.
Wachezaji wa timu ya Misri wataivaa shati hii
katika Kombe la Mataifa ya Afrika ,
itakayofanyika katika kipindi cha 21 juni hadi 19 julai mwaka 2019 .
Comments