Fryal Ashraf anashinda kwa medali ya kidhahabu uzito 68km katika michuano ya dunia kwa wadogo wa karate

Fryal  Ashrf  , mchezaji  wa  timu ya  taifa  kwa  karate  ameheshimiwa   kwa  medali  ya  dhahabu   ya  mashindano  ya  uzito  68km  ( umri 21) katika  michuano  ya  dunia  kwa  wadogo  na  vijana   na  chini  ya  umri  21  inayofanyiwa  tangu  23 mpaka siku ya 27  mwezi  wa  Oktoba  katika  santiaghu   nchini  Chile.

Fryal  amepata  nishani  ya  dhahabu  baada  ya  kushinda  kwake   katika  mechi  za  mwisho  dhidi  ya  mchezaji  wa  Urusi   " vectoria   Isafa "   kwa  0-2  .

 

Fryal alikuwa  ameshapata  Safari  ya  kutofautisha  katika  michuano  amabapo  ameshinda  katika  mechi  zake  zote  katika  makundi  ya  kwanza  dhidi  ya  mabingwa   wa  Uturuki  , Belaurusi ,  ugiriki  na  Afrika kusini  .

Comments