waziri wa michezo anamheshimu bingwa wa Misri na Afrika Azmi Muhalibeh kwa kupiga risasi baada ya kushinda medali ya shaba ya kombe la dunia

baada ya kushinda shindano la kombe la dunia la medali ya shaba na kufuzu kwa olimpiki ya tokyo mnamo 2020 .Dokta  Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alimheshimu bingwa wa Misri Azmi Muhaibeh baada ya kushinda medali ya shaba katika kombe la dunia la kupiga risasi kwa bunduki ya skeet iliyofaniyika katika UAE

Muhailbeh alifanikiwa pia kufuzu kwa olimpiki ya tokyo mnamo 2020. baada ya alipata nafasi ya tatu na medali ya shaba kwenye mashindano ya kombe la dunia la skeet yaliyofanyika nchini Finland mnamo Agosti iliyopita

Sobhy alielezea furaha yake na kiwango kizuri cha mchezaji huyu katika mashindano ya awali na maandalizi yaliyofanywa na kambi na mashindano yaliyochangia mafanikio yake katika kufuzu katika olimpiki ya Tokyo 2020

aliongeza kuwa mpango wa wizara katika hatua ya sasa ni kutoa uwezo wote kwa wanariadha kwa kuongeza kugundua mabingwa kutoka umri mdogo na kuwaandaa kuimarisha safu ya timu ya misri ili kuboresha kiwango cha wanariadha wa misri katika michezo mbali mbali

Sobhy alihakikishia maandalizi ya Muhailbeh kwa olimpiki ya Tokyo ya 2020 . alisisitiza kwamba  wizara ya vijana na michezo inafanya kazi kufuta changamoto yote kumuunga mkono Muhailbeh na wanariadha wote nchini Misri ili kuendeleza michezo ya Misri

 heshima hiyo ilihudhuriwa na meja mkuu Hazem Hosni rais wa shirikisho la risasi la Misri na waziri msaidizi wa utendaji wa michezo Mohamed Kurdi

Comments