Timu ya olimpiki inafanya mazoezi kwa “mara mbili” kwenye uwnja wa Kairo kabla ya michuano ya mataifa ya Afrika

Shawki Gharib mkurugenzi wa kiufundi kwa timu ya olimpiki alisisitiza kwamba awamu ya pili ya maandalizi ya timu ilianza  jumatatu hadi siku ya tatu kutoka mwezi wa Novemba .itakuwa mjini wa Al ain Elsukhana .alitoa shukurani kwa maafisa wa uwanja wa Suezi na Wadi Degla kwani walipatikana  uwanja na makazi kwa wachezaji wa timu.

Gharib alisema kwenye taarifa ya uandishi wa habari kwamba timu inafanya zoezi kwa mara mbili kwenye uwanja wa Kairo baada ya ruhusa ya maafisa baada ya kurudi kutoka mji wa Al ain El sokhna baada ya kumaliza awamu ya pili kutoka programu wa maandalizi .akiendelea kwenye mtindo wake na wachezaji na akasema;”wakati tunahesabu wachezaji na kuwawekwa mbali lakini hii inatokea kwenye mahali maalumu kwao pekee na hii inasababisha kwa kuwepo heshima kati yetu na wachezaji .akitoa shukurani kwa chombo cha msaada na chombo cha utawala na utabibu kwani walifanya kazi kwa uchaji na kimya.

Gharib akifuata kwenye mechi mbili za mbili tumejaribu wachezaji wawili katika sehemu nyingi;akisisitiza kwamba mchezaji wa Misri ana tabia ya hujumu.lakini sisi tunafuata ili kuzoea kwa njia nyingi ikiwa alipambana msimamo yoyote kwenye michuano.

timu ya olimpiki inaandaa kucheza michuano ya mataifa ya Afrika chini ya umri 23na kupiga kura iliwafanya kwenye kundi ya kwanza na Mali;Cameron na Ghana.

Comments