Tume ya wazee wa
Afrika ya umoja wa afrikawakati wa mkutano uliofanyika huko Djibouti na
ushiriki wa Dokta Amr Mousa na mwenyekiti wa umoja wa Afrika Moussa Fakih huchaguliwa bwana Amr Mousa kuwa
mwenyekiti wake kwa mwaka wa 2019 /2020
kupitia shughuli za umoja katika mwaka uliopita na kujiandaa kwa mwaka
ujao na shughuli zake baada ya Uainishaji wa bajeti
mnamo mwaka wa 2017 ,
umoja wa afrika ilimteua Dokta Amr Mousa kama mmisri wa kwanza kushika kiti cha
Afrika kaskazini katika tume ya wazee wa Afrika ni pamoja na rais wa Liberia na
mshindi wa tuzo ya Amani ya Nobel Elen Johnson Sirleaf , waziri wa zamani wa mambo ya kijamii kwa
Gabon Honorin Nezet Betighi , rais wa zamani wa Namibia Hilvikuni Guhamba ,
makamu wa zamani wa rais wa uganda Dokta
Speciosa Wandira Kasabwe
tume ya wazee wa
afrika yanaundwa na wawakilishi watano wanaowakilisha mikoa ya kaskazini ,
mashariki , kusini , magharibi na katikati ya afrika , tume inawajibika
kujadili shida za bara na kusuluhisha mizozo na matatizo juu ya nchi za
kiafrika na hutoa ushauri kwa baraza la amani na usalama la afrika juu ya
maswala yanayohusiana na kuzuia migogoro zilizosimamiwa na kutatuliwa
tangu kuanzishwa kwake
mwaka 2007 ina jukumu kubwa katika utatuzi wa migogoro na kujenga amani , pamoja
na mizozo iliyoibuka baada ya uchaguzi kwenye bara hilo , pia hukuwa na jukumu
la suala la haki na maridhiano ya kitaifa katika uwanja wa haki za wanawake na
watoto katika migogoro yenye silaha , demokrasia na utawala
Comments