Waziri wa michezo anasifu kwa mafanikio ya ulimwengu kwa timu ya karate na anawapongeza wajumbe wa ujumbe wa kimisri
- 2019-10-31 11:23:59
Dokta Ashraf sobhy waziri wa vijana na michezo alitoa pongeza kwa ujumbe wa timu ya taifa kwa karate baada ya mafanikiyo ya historia ambayo ilifanikiwa kwa kushinda kwa cheo cha ubingwa ya dunia na kupata kwa nafasi ya kwanza kwa ujumla wa medali 19 ni tofauti kama ;dhahabu 7 ;kifedha 4 ;shaba 8 katika ubingwa uliofanikiwa kwenye Shaili ;Santiago mwaka 2019 kwa kushirika dola 86 na wachezaji 1456.
Waziri wa vijana na
michezo alisifu kwa kiwangu nzuri kwa wachezaji wote kupitia na ubingwa na
walipata cheo cha ubingwa wa kombe la dunia na kurejea kwa kuongoza wa dunia
upya katika fanikio kubwa lililoongeza kwa mafanikio yote ambayo lilifanikiwa
na michezo ya kimisri wakati sasa.
Katika kauli huo huo
dokta Ashraf sobhi alijali kwa kutoa pongeza kwa baraza la utawala wa
shirikisho la Misri kwa karate kwa fanikio hilo inayozingatia ongezo kubwa kwa
mfumo wa michezo ya kimisri.
Jumla ya medali ambayo
walipatia wabingwa wa misri kwenye ubingwa kama ifwatayo;
-medali ya dhahabu kwa
mchezaji /Basmala Mhamoud kwa uzito 54kg kwa vijana.
-medali ya dhahabu kwa
mchezaji/Yasmin Nasr kwa uzito 48kg kwa vijana wa wasichana.
-medali ya dhahabu kwa
mchezaji/Ahmed Ayman kwa uzito 61kg kwa vijana.
-medali ya dhahabu kwa
mchezaji/Hazem Ahmed saidi kwa uzito zaidi 76 kwa vijana.
-medali ya dhahabu kwa
mchezaji/Twaha Tarek kwa uzito 84kg chini ya umri 21.
-medali ya dhahabu kwa
mchezaji/Ferial Ashraf kwa uzito 68kg chini ya umri 21.
-medali ya dhahabu kwa
mchezo wa kata ya jamaa ya wanaume
-medali ya fedha kwa
mchezaji/Mohamed Husein kwa mchezo wa kata kwa vijana.
-medali ya fedha kwa
mchezaji/Fatma Abd el Naser kwa uzito 47kg kwa vijana wa wasichana.
Comments