Waziri wa vijana na michezo anahudhuria mkutano wa mashindano ya Mbio ya Sadaka ya zayd nchini falme za kiarabu " Emirates "

 Kupitia  mkutano  wa  waandishi wa habari  uliofanyiwa nchini  falme  za  Kiarabu  

  Dokta  Ashraf Sobhy : kufanya  toleo  la  sita  la  mashindano  ya sadaka ya  zayad  mjini  Suez tarehe  27  Desemba   na  kuainisha mapato  yake  kwa  taasisi  ya  saratani  ya  kitaifa   .

 

Dokta  Ashraf  Sobhy waziri  wa  vijana  na michezo  alitangaza  kutoa  toleo  la  sita  kwa  mashindano  ya  ziyad  El  khairi   mkoani mwa Suez tarehe  27 Desemba  katika  mwaka  huu  kwa  ushirikiano  wa  makundi  makubwa  ya  vijana  na  wasichana  kutoka  mikoa  ya  Jamhuri  mbalimbali   ,na  hudhuria  idadi  ya  mabwana  ya  waziri  , wahusika  na  viongozi wakuu   nchi  ufalme  wa  kiarabu  na  kutoka   wizara  ya  vijana  na  michezo  ya  Misri  na  mkoa sues  na  kunafsisha  mapato  ya  msaada  wa  toleo  la  sita  la  mashindano  mwaka  huu kwa  maslahi ya  taasisi  ya  saratani  ya  kitaifa  inayohusisha  chuo  kikuu  cha  Kairo  .

 

Hivyo  imekuja  wakati  wa  mkutano  wa  waandishi  wa  habari  uliofanyiwa  mjini  Emiratis  siku  ya  leo  Jumatano  , ili  kutangaza  maelezo  ya  toleo  la  sita  la  mashindano  ya  sadaka.

 

 

Waziri  wa  vijana  na  michezo  alisema  kuwa  " miadi  ya  kufanya  mashindano ya  zayad  ya  sadaka Inasambamba  na  sikukuu  ya  kitaifa  kwa  nchi jirani ya  ufalme  wa  kiarabu  inayofungamana   na  Misri  uhusiano wa  kindugu katika  nyanja mbalimbali  "  akiashiria  sura  nzuri ya  mashindano  katika  viwango  vya  kijamii  , kiutamaduni  ,kisiasa  na  michezo  .

 

Dokta   Ashraf  Sobhy alifafanua  kuwa  sisi  tunatufautisha  katika  uchaguzi  wa  miji  inayokaribisha  mashindano  kila  mwaka  ambapo  tunaanzia  kairo  kisha  loxur katika  mwaka  mmoja  na  toleo  lililopita  Imeshaanza kufanya  mashindano  makoani  mwa Ismalia   , na  mwaka  yatafaniywa   mjini  sues  " akiashiria  kiwango  cha  juu  kilichofikiwa  na  kamati  inayoandaa  mashindano  ili  kuonekana  katika  sura  bora  .

 

Waziri   alibainisha  kuwa  mashindano  yatakuwa  takriban  10 kilomita  , na  itakuwa  kujiandikisha  kupitia  utumiaji  wa  mtandao ili  kusajili  na kupima  na  kutangaza  matokeo hilo  linazingatiwa  kusadiki tupu  kwa  vijana  wanaoshiriki  .

 

 

Dokta   Ashraf  Sobhy alisisitiza  kuwa  mashindano  ya sadaka ya   zyad yanazingatiwa kuwa  miongoni  nwa  matukio  ya michezo  mkubwa  yanayoshirikishwa  na  idadi  kutoka  tabala  la  jamii  mbalimbali  na  yananafasisha  mapato  ya mashindano katika  mwisho  wa  kila  shindano kwa  taasisi  ya  ihsani  mmoja  ambapo  imeshafanyiwa  miaka  iliyopita  kutoa  msaada  kwa taasisi  ya  saratani  ya  Alormani  na  Mustamarti  elgazam  inayohusiana na  taasisi  ya  Misri kwa heri .

Comments