Mmisri Gehad Grisha Refarii wa makabiliano ya Congo na Senegal katika mechi za fainali ya mataifa ya Afrika 2021

 Kamati la Refarii katika shirikisho la Afrika la kimataifa la Mondial  lilimchagua Gehad Grisha Kama Refarii wa makabiliano ya Congo na senegal katika mechi za fainali ya mataifa ya Afrika katika duru ya kwanza na mechi inafanyika Dakar mjini mkuu mwa Senegal siku ya 13 mwezi ujao wa Novemba 

 

Na Tahsin Abu Elsadat msaidizi wa kwanza anamsaidia Grisha  na Ahmed Hossam  Taha msaidizi wa pili na Mohamed Adel ni mwamuzi wa nne

 

Na Senegal  ipo katika kundi la tisa na Congo , Guinea Bissau na Isoatini na mashindano ya mataifa ya Afrika 2021 yanafanyika nchini Cameron na kura inapelekea vikundi 12 na kila kikundi kinajumuisha timu nne za kitaifa , na timu ya kwanza na ya pili kutoka kila kikundi ili mashindano yanajumuisha timu 24 ya kitaifa 

Comments