Hana Gouda anashinda nafasi ya nne ya kombe la dunia la mabara kwa Tenisi ya meza

 Hana Gouda mwenye umri wa miaka 12 ameshinda nafasi ya nne ya michuano ya kombe la dunia la mabara kwa Tenisi  ya meza ya wasichana chini ya miaka 15 iliyofanyika nchini Boland 2019 mnamo kipindi cha tarehe 23 hadi 31 mwezi wa Oktoba.

 

Hana Gouda katika mechi ya thumuni ya fainali dhidi ya bingwa wa Boland ambaye ni mwenye wa ardhi hiyo na mashabiki ameshinda kwa tija ya vipindi vya mechi 4/1 (11-7 / 11-8 / 12-10 / 11-5 / 4-11), kisha ameshinda katika mechi ya robo ya fainali dhidi ya mchezaji wa Uhindi kwa tija hiyo hiyo 4/1 (12-10 / 11-9 / 11-9 / 11-8 / 11-5).

 

Lakini ameshindwa mechi ya nusu ya fainali dhidi ya mchezaji wa Japan kwa  4/1, kisha ameshindwa mechi ya medali ya shaba dhidi ya mchezaji wa Korea Kusini kwa  3/0.

Comments