DKT Jozin Gawdet ameomba kujiunga na tume ya Kujitolea
katika michuano ya Mataifa ya Afrika 2019 , itakayofanyika mnamo kipindi
cha tarehe ya21 juni hadi 19 julai mwaka
2019. Kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Kairo, Uwanja wa Salaam ,Uwanja wa Juni 30
,UWANJA WA ALEXANDRIA,Uwanja wa suez na Uwanja wa Ismailia Kwa ushirikiano wa
timu 24 .
Dkt Jouzin Jawdet
Othman ni profesa katika Kitivo cha Fasihi ( Sanaa), Chuo Kikuu cha kairo
"Idara ya lugha ya Kifaransa" , alihudhuria kwa makao makuu ya elimu ya kiraia ili;
kuomba kupata mahojiano ya kibinafsi
mbele ya tume ya wanaojitolea na mbele
ya Dkt Jihad Amer, mhusika wa tume ya
kujitolea.
Comments