Mhitimu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi anaimarisha ushirikiano kati ya Chama cha wahandisi cha kimisri na chama cha wahandisi cha kizambia
- 2019-11-03 13:15:40
Pendekezo moja la harakati ya Nasser kwa Vijana ni Mpango wa Umoja wa kiafrika " Milioni moja kwa kufikia 2021" unaoweka Elimu na Ajira miongoni mwa nguzo zake muhimu zaidi.
Edward Mwaba Ndalama " Mhitimu wa Udhamini wa Nasser na kiongozi wa harakati ya Nasser kwa vijana nchini Zambia" amesisitiza juu ya kuimarisha umuhimu wa Sayansi na Uhandisi kwa ajili ya maendeleo ya vyanzo vya binadamu barani Afrika.
nayo ndiyo ni sababu iliyofanyika Harakati ya Nasser kwa vijana nchini Zambia kufanya kazi ya kutekleza mpango wa " Milioni moja kwa kufikia 2021" kupitia kukaribisha Misri na Zambia katika uwanja wa Uhandisi.
Chama cha wahandisi cha kimisri kinachokusanya zaidi ya mhandisi laki saba (700000), na Taasisi ya Uhandisi ya Zambia inayokusanya zaidi ya mhandisi elfu Arbuini na tano (45000), zote zilitia saini mkataba wa kufahimiana jana 17 Septemba, wakati wa matukio ya ufunguzi wa wiki ya uhandisi ya kiafrika ya sita katika Lifghnston, Zambia, na Mkataba wa kushirikiana unaidhinisha kwa kubadilishana ujuzi , jambo linalowaruhusu wahandisi wa Zambia kushirikiana katika programbu za kuunda uwezo nchini Misri pia kujenga majengo ya kufunza nchini Zambia.
inayostahili kutajwa hapa ni kwamba Udhamini wa Nasser una upanuzi mkubwa nchini Zambia kama " Lukasa, Kuberplet, Vitengo vya kaskazini na kati" pia katika vyuo vikuu saba , na miongozi mwao chuo kikuu cha Zambia , Chuo kikuu cha Nikroma, Chuo kikuu cha Kuberplt, Chuo kikuu cha katholiki nchini Zambia, Chuo kikuu cha Taarifa na Teknolojia, Kitivo cha kitaifa kuboresha vyanzo , na Kitivo cha Kasama cha Mafunzo.
Na harakati ya Nasser kwa vijana ipo katika mifumo kadhaa kama: Wazimamoto wa Nasser nchini Zambia, Nasser kwa Mchezo wa Sarakasi nchini Zambia, Harakati ya Nasser ya Mofulera, Harakati ya Nasser kwa kuendeleza vijana na Ujasiriamali , na hayo yote yanarudishwa wka juhudi za Edward na timu yake wanaofanya kazi kwa kutekleza pamoja na viongozi wa kesho.
inalazimishwa kutaja kwamba Harakati ya Nasser kwa vihana ilitokea kama kutekleza mapendekezo ya kundi la kwanza kwa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi ulioandaliwa nchini Misri katika Juni 2019 .
Harakati ya Nasser sasa hivi inafanya kazi katika Zambia, Uganda, Ethuopia, Somalia, Kenya, Kongo , Afrika Kusini, Naigeria, Rwanda, Malawi, Serelion , Namibia, Tanzania, Zimbabwe, na Ghana. na Harakati haisimamishwi hapa katika nchi hizi tu bali ipo wazi kwa nchi zote nyingine za kiafrika .
Comments