Timu ya Cameroon inajiandaa kwa mashindano ya Afrika kwenye kambi la Ismailia

     Ujumbe wa timu ya Cameroon  ya chini ya miaka 23 ulifikia jana asubuhi, Ismailia ili kuhudhuria kambi lililofungwa katika hoteli kwenye ziwa la “El-Temsah” , na hivyo ili kujiandaa kwa kushiriki kaktika Mashindano ya Afrika yatakayofanyika nchini Misri kutoka 8 hadi 22 Novemba ijayo .

     Timu tatu zinastahili kupata Olimpiki ya Tokyo 2020, na timu ya Cameroon (inazingatia) ndio timu ya pili kuwasili (kufikia) Kairo baada ya timu ya Nigeria,na timu zingine zilizoshiriki zitafikia siku zijazo.

     Ni muhimu kukumbuka kuwa mashindano ya Afrika ya kufuzu kwa Olimpiki, ikihusisha timu nane na kupanda timu tatu za kwanza moja kwa moja kwa Olimpiki, timu ya Misri iko katika kundi la kwanza ambalo linajumuisha Mali, Ghana na Kamerun (Cameroon), wakati kundi la pili linajumuisha Cote d’Ivoire, Zambia, Nigeria na Afrika Kusini, na michezo hiyo hufanyika katika uwanja wa Kimataifa wa Kairo na Uwanja wa “El-Salam” kuanzia 8 Novemba ijayo.

    Wafanyikazi wa ufundi wa timu ya Cameroon ya chini ya miaka 23 , wanaoongozwa na Rigober Song, wametangaza orodha ya mwisho ya simba wanaojiandaa na Kombe la Mataifa ya Afrika.

Orodha ya mwisho ya (simba) wa Kamerun ni pamoja na:

    Ktk. magoli: Amposola Amedgo (Pamba ya Kamerun), Abugo Donald (TKC Kamerun) na Dandy Junior (Abige Camerun).

    Mlinzi: Yumen Degoe, Anapa Orlich “Lyon wa Ufaransa”, Mbaizo Oliver “Filadelfia wa Marekani” na Panigo Dobilks “Stromsgodest” na Omar Gonzalez “Shambly wa Ufaransa” na Marselen Kilama “Niur wa Ufaransa” na Nuhu Tulu “Sundrz wa Marekani”.

     Katika . uwanja wa kati: Om Got Samuel “Altakh wa Austria” na Suny Oliver “Espanyol wa Uhispania” na Yan Fabres “Ghiranata wa Uhispania” na Victor Ikani “Sunoyosk” na Hungola Martin “Antowerb”.

na Mbu Eirik “Othmanlispur wa Uturuki” na Ifina Junior “Ordingen wa Ujerumani” na Bier Eksafer “Lans wa Ufaransa” na Herfy Pety "Karkira wa Ugiriki”.

     Ktk. shambulio: Steven Thierry “Tuluz wa Ufaransa” na Shikua Michael “si vi hurn wa Austria”.

Comments