Matokeo ya siku ya kwanza ya ubingwa wa mafarau wa kimataifa wa kwanza wa Airobik unaofanyika sasa mijini Hurgada mkoa wa bahari nyekundu uwanjani kwa vijana na michezo na kuendelea hadi tarehe 4 mwezi Novemba , yalibainisha yafuatayo ..
Katika mashindano ya watatu wakubwa
Timu ya Misri ilipata nafasi ya kwanza na medali ya dhahabu
na Algeria ilipata nafasi ya pili
Katika mashindano ya watatu wa vijana
Klabu ya Smoha wakilisha ya Misri ilipata nafasi ya kwanza
na klabu ya Moasasa ilipata nafasi ya pili
Katika mashindano ya watatu kwa awamu za umri
Timu ya klabu ya Smoha ilipata nafasi ya kwanza na timu ya
Smoha B ilipata nafasi ya pili , na nafasi ya tatu ilipatwa kwa timu ya klabu
ya Nady El Shams
Katika mashindano ya umoja wa wasichana kwa awamu za umri
Mchezaji Farly Sikofa kutoka Blarusi alipata nafasi ya
kwanza .
Mchezaji Mona Soify kutoka Misri alipata nafasi ya pili .
Mchezaji Karma Gharaba Kutoka Misri alipata nafasi ya tatu .
Siku ya Ijumaa jioni , ilifanyika sherehe ya ufunguzi wa
ubingwa wa Faraana wa kimataifa kwa sarakasi katika mara yake ya kwanza , na
unaofanyika mjini Hurgada kupitia tarehe 1 hadi 4 mwezi Oktoba , kwa ushiriki wa
wachezaji 179 wanatoka nchi 8 .
Comments