Timu ya mpira wa pwani inaelekea Emaret ili kushiriki kwenye kombe la dunia kwa mabara
- 2019-11-06 12:34:08
Ujumbe wa timu ya kimisri kwa mpira wa pwani inaelekea kwa nchi ya Emaret leo kushiriki kwenye kombe la dunia kwa mabara Dobay 2019 itakayofanyika Dobay kutoka kipindi siku ya 5 hadi siku 9 mwezi huo wa Novemba.
ujumbe wa timu ya kitaifa unaongozwa na Dokta Sahar Abd el Hak mjumbe wa baraza la
utawala kwa shirika la mpira na msimamo kwa mpira ya wavu na inayoongoza timu
ya taifa chombo ya kifundi bwana Mostafa Lotfy mkurugenzi wa fani na Abdel
wahab Al Said mkurugenzi wa timu na Omr Helmi
kocha wa kuu na Ahmed Abo Sriaa kocha.Yaser Abdel khalea golikipa wa
wavu na Waled Manzor Daktari na Abass Huseein mtalaamu wa matibabu.
Timu ya Mafarau inashiriki pamoja na kundi la pili na itaanza mechi yake ya kwanza
siku ya jumanne siku ya 5 mwezi wa Novemba itapambana timu ya Urusi katika saa
nane kasoro robo kwa wakati wa Misri kisha itapambana timu ya iran siku ya
jumatano siku ya 6 mwezi wa novemba sa kumi na mbili jioni kisha itapambana
timu ya Maksik siku ya Al hamisi 7 mwezi Novemba katika saa tisa na nusu jioni.
Ujumbe huu wa timu unajumuia Mohamed Fawzi , Abd El Aziz
Sabah na Mostafa Samir , mostafa Ahmed , Mostafa Ali , Hasan Mohamed , Haysam
Atef , Ahmed Shehata , Karim Said , Mohamed Abdel Nabi , Abdel Rahman Hasan na
Al huseni Taha.
Kundi la kwanza linajumuia nchi ya Emaret;Uhasbania;Italy na
Jaban.timu ya Misri inachukua nafasi ya 19 ulimwenguni .sasa hivi timu yetu ya
taifa inarejea baada ya kipindi cha
kuacha ambapo baraza la utawala wa shiriki la mpira kupitia na Sahar Abdel
Khalea ilishinda kwenye kurejesha upya shughuli ya kimataifa mara nyingine.
Comments