Kusifu kwa kimataifa kwa kupanga michuano ya mafarau wa kimataifa wa Aerobic mjini Hurgada
- 2019-11-06 12:37:06
Shughuli za ubingwa wa Mafarau wa kimataifa wa sarakasi ya
Aerobic katika toleo lake la kwanza
zilimalizika jana kwenye sebule ya
wizara ya vijana na michezo mjini mwa Hurgada mkoani mwa Bahari Nyekundu na
zilizofanyika katika kipindi cha 1 - 3 mwezi wa novemba kwa ushiriki wa nchi
nane : italia , Jamhuri ya Czech, Azabajani, Slovakia, Romania, Algeria , Nigeria na Misri na wachezaji 179 wa nchi 8
wanashiriki katika shughuli hizo
Na zilizofanyika chini ya usimamizi wa shirikisho la
kimataifa la sarakasi , likiwakilishwa na kuhudhuria kwa Christina Maria
mwakilishi wa Shirikisho la kimataifa , mkuu wa kamati la kiufundi la
shirikisho la ulaya la sarakasi na naibu wa mkuu wa shirikisho la Bahari ya
Kati la sarakasi
Christina Maria mwakilishi wa Shirikisho la kimataifa , mkuu
wa kamati la kiufundi la shirikisho la Ulaya la sarakasi na naibu wa mkuu wa
shirikisho la Bahari ya Kati la sarakasi alisifu kiwango cha mashindano ,
sherehe za kufunguliwa na hitimisho na utaratibu mzuri
Na Maria aliongeza kwamba misri inashuhudia mageuzi makubwa
katika pande zote za sarakasi chini ya uongozi wa Dokta Ehab Amin na
alilisaidia shirikisho katika uenezi wa
mchezo kwa njia inayoonekana na ongezeko la idadi za wachezaji kupitia miaka
miwili iliyopita
Na alieleza kwamba kukaribisha kwa Misri kwa komba la dunia
2020 ni thibitisho ya imani ya Shirikisho la kimataifa katika mwenzake wa
kimisri na nchi inawakilishwa na wizara ya vijana na michezo na kamati la
olimpiki la kimisri
Na katika upande huo huo , mkuu wa shirikisho la kimisri
Dokta Ehab Amin kwamba kinachotokea sasa
hivi kilikuwa ndoto kubwa ya shirikisho la sarakasi baada ya kuwa mbeleni mwa
nchi katika kukaribisha kwa mashindano ya kimataifa na ya bara
Na Amin aliashiria kwamba kuna usaidizi mkubwa kutoka wizara
ya vijana na michezo kwa uongozi wa Dokta Ashraf sobhy , ambapo shirikisho
liliteseka kutokuwa vifaa vya kiufundi , na mashindano yalitokea kwa njia kali
Na aliongeza kwamba shirikisho liliweza kuendeleza mageuzi
na matukio ya kimataifa yanayotokea juu ya kiwango cha sarakasi kupitia kipindi
kifupi
Kuchagua kwa shirikisho la sarakasi kuhusu kufanyika kwa
mashindano kulikuwa katika sebule inayofunikwa mjini mwa hurgada mkoani mwa
bahari nyekundu katika itifaki mpya ya shirikisho la kimisri la sarakasi ili
kueneza mchezo na kufanyika mashindano ya kimataifa na ya bara nje ya Kairo an
Aleskandaria
Na mashindano yalifanikiwa katika kufanya shughuli muhimu ya
kitalii na kuvutia macho na idadi kubwa za watalii kwa mkoa wa Bahari Nyekundu
pamoja na utalii wa pwani na mikutano
Comments