Kura ya Kombe la dunia la mabara ya timu ya kimataifa ya Wanawake wa tenisi ya meza,ambapo Misri itaishirikia, mnamo Novemba kutoka 6 hadi 10 nchini Japan, ilionyesha kwamba timu ya kitaifa ikipigwa ndani ya kundi la kwanza pamoja na Uchina na Ukraine, na nchi 12 zitashiriki kwenye mashindano hayo.
Kundi la pili
lilikuja ; Marekani, Australia na Japan, wakati Uchina Taipei, Romania na
Vanuatu zimekuja katika kundi la tatu.
na Hong Kong, Korea na Brazil zilikuja katika kundi la nne .
Mchezaji
wa timu ya kitaifa ya wanawake, Dina
Mesharef ,alishiriki katika kuandaa matukio ya kura kwa mahudhurio ya Ashraf Helmi, kocha wa timu
ya kitaifa ya wanawake, na Saeed Koreitem, Makamu wa mwenyekiti wa Shirikisho
hilo.
Comments