Ahmed Adly, mkurugenzi wa chuo cha Wadi Degla Adly kwa Chesi na bingwa wa vijana wa zamani wa ulimwengu ameshinda kombe la nafasi ya kwanza kwa ushindi wake kwa mechi za tamasha la mfalme wa Mohamed wa sita kwa Chesi ya haraka nchini Morocco, lililofanyika mnamo kipindi cha tarehe ya siku ya 29 ya mwezi wa Oktoba hadi siku ya 2 ya mwezi huu wa Novemba.
Adly amehakikisha ushindi
katika mechi 7, huku imefunga katika mechi mbili zingine, akiendelea
kuhakikisha mafanikio mengi zaidi katika michuano yote ya kitaifa na ya
kidunia.
Lazima kutaja kuwa
Chuo cha Wadi Degla kwa Chesi
kinazingatiwa chuo cha kwanza cha
kimataifa na cha ulimwengu nchini Misri
iliyodhaminiwa kwa "FIDE"
(shirikisho la kimataifa la Chesi) chini ya uongozi wa bingwa wa dunia
Ahmed Adly, na kinachofundisha watoto
wenye umri wa miaka 6 hadi miaka 18 chini ya uongozi wa kocha wa kimataifa kwa
kuzitumia njia za ulimwengu.
Comments