Kwa Mahudhurio ya Rais wa Polanda ....waziri wa michezo anashuhudia uzinduzi wa matukio ya mkutano wa tano wa kimataifa kupambana Dawa za kulevya

 Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo  alishuhudia leo uzinduzi wa  shughuli za mkutano wa tano wa kimataifa kupambana Dawa za kulevya  katika uwanja wa kimichezo.na hivyo kwa hudhuria Rais wa Polanda Bwana Andgei Doda;Rais wa Widad Gerik Rydy ; Towas Bakh Rais wa kamati ya olimpiki  ya kimataifa.Bankari Rais wa michezo ya Polanda na Rais mpya kwa shirika la kimataifa mwanzoni mwa mwezi wa kwanza ijayo kwa mwaka 2020.

 

Waziri wa michezo alikutana na bwana Tomas Bakh Rais wa kamati ya olimpiki ya kimataifa pambezoni mwa mkutano .ambapo akijadiliwa njia ya kuongeza haraka ya michezo  ya kimisri na kusisitiza kwa ushirikiano kamili kati ya dola ya kimisri inayowakilisha katika wizara ya vijana na michezo na kamati ya olimpiki ya kimataifa.

 

Waziri aliambatana na Dokta Osama Ghonim mwenyekiti ya utekelezaji kwa shirika la kimisri kupambana Dawa za kulevya.Mhandisi Yaser Edris mjumbe wa kamati ya olimpiki ya kimisri na Dokta Hanem Amir mwenyekiti kuu kwa klabu y misri na Rais wa eneo la tano ya Afrika na makao makuu yake ni Kenya.

 

Waliohudhuria mkutano huo idadi kadhaa kutoka waziri ya michezo kwa kiwango cha dunia;na marais wa mashirika ya kimataifa; marais wa kamati ya olimpiki na wenyekiti ya kamati ya kimataifa.

Comments