«Wizara ya Afya »: Uchambuzi wa 14838 Raia wa Kiafrika huko Chad na Sudan Kusini
- 2019-11-07 11:23:22
Wizara ya Afya, imetangaza kumalizika kuchambua kwa raia wa Kiafrika 14,838 huko Chad na Sudan Kusini kama sehemu ya mpango wa Rais Abdel Fattah al-Sisi, kutibu Waafrika milioni kutoka virusi C, uliozinduliwa Septemba mwaka jana
Hii inakuja kwa
kuzingatia urais wa Misri wa Umoja wa kiafrika, na kusudi lake la kufungua kliniki
za virusi vya Ini katika nchi kadhaa za Kiafrika zilizo chini ya kauli mbiu ya
« Idumu Misri ya Afrika», kuunga mkono nchi hizo kwenye kukagua na matibabu ya
raia wao na kuhamisha uzoefu wa kwanza wa kiafya "milioni 100" ili kuondoa virusi c
na kugundua magonjwa yasiyoweza kutajwa.
Dokta Khalid Mujahid,
Mshauri wa Waziri wa Afya na Idadi ya Watu wa Masuala ya Habari na msemaji rasmi kwa wizara, Ilikagua raia 6,165 wa
Sudan Kusini, na pia raia 8,673 wa Chad,
akisisitiza kwamba
yeyote atathibitisha maradhi yake hupewa matibabu bure.
Aliashiria kwamba timu
ya matibabu ya kimisri bado inafuata kukagua nchini Chad na Sudan Kusini
kupitia kliniki «Idumu Misri ya Afrika» ,Pia hufundisha wafanyakazi wa
matibabu matumizi ya uzoefu wa kimisri
kumaliza virusi vya C na kugundua magonjwa yasiyoweza kutajwa, Hii inafanywa
kupitia mafunzo ya wafanyakazi wa matibabu
kukagua na matibabu kwa virusi vya C na kugundua magonjwa yasiyoweza
kutajwa, pamoja na mafunzo kwa itifaki
za matibabu.
Alionyesha kuwa hatua
hiyo imepangwa kuanza katika nchi za Eritrea na Uganda, mnamo siku zijazo,
ambapo timu ya matibabu ya kimisri itatumwa kwa nchi zote mbili, Alifafanua
kuwa maandalizi yanaendelea kuzindua mpango huo katika nchi zingine za
Kiafrika zilizotambuliwa mfululizo.
Comments