"Mataifa ya Afrika chini ya miaka 23" .. Balozi wa Ghana anaunga mkono timu ya Olimpiki ya nchi yake kutoka Kairo

 Balozi wa Ghana nchini Misri, Dokta Winverd Hammond, alipokea timu ya Olimpiki ya nchi yake kuiunga mkono kabla ya kucheza matukio ya Mataifa ya Africa chini ya miaka 23.

na Misri  itakaribisha mashindano hayo kuanzia  kesho kutwa Ijumaa hadi Novemba hii 22 kwenye uwanja wa Kairo  ya kimataifa na El Salam na watatu wa juu wanaelekea Olimpiki ya Tokyo 2020.

 

Hammond aliwaambia wachezaji wa timu ya nchi yake "Tunawaunga mkono katika Mataifa ya Afrika chini ya miaka 23 ili kutekeleza ndoto ya Olimpiki na kushiriki kwenye kikao cha Michezo  itakayokaribishwa kwa Tokyo msimu ujao ".

 

Na kura ya mashindano haya yalitokea uwepo wa Ghana katika kundi la kwanza pamoja na Misri,  Mali na Camerun siku ya Ijuma ijayo kwenye Uwanja wa Kairo .

Comments