Ahmed Awen : idadi ya timu zinazoshirki katika michuano ya ulimwengu kwa kuinua uzito nchini Misri ni jambo kubwa zaidi katika historia
- 2019-11-07 11:32:34
Shirkisho la kimisri kwa michezo ya vipofu chini ya uongozi Ahmed Awen lilifanya mkutano wa waandishi wa habari ,jana siku ya jumanne ,kwa ajili ya kugundua maelezo ya michuano ijayo ya ulimwengu kwa kuinua uzito na michuano ya kiafrika kwa kuinua uzito kwa vipofu ,kiasi kwamba Misri inakarbisha michuano miwili kupitia muda kati ya 15 mpaka 22 mwezi wa Novemba ujao ,katika hoteli moja kubwa mkoani Kairo .
Ahmed Awen
alielezea furaha yake kubwa kwa
kukaribisha Misri kwa michuano ya
ulimwengu kwa kuinua uzito kwa vipofu namba ya 14 ,pia kukarbisha michuano ya
kiafrika ya kwanza ,akisheria kuwa wachezaji watafanya juhudi kubwa kwa ajili
ya kuhakikisha medali kwa Misri kupitia
michuano miwili .
Mwenyekiti wa
shirkisho la kimisri alisharia kwa michezo ya vipofu ,kuwa michuano itajumuisha nchi 12 mbalimbali , nazo ni (Uturki ,Urusi ,Ukurani,Jumuhuri ya Cazech
,Jaban ,Lebia,Zimbabwe,India,Jeorjea ,Venzoula ,Nigeria )pamoja na timu ya
kitaifa _kimisri .
Awen alisistiza kuwa
namba hii inazingatia namba ya rekodi katika historia ya michuano,kiasi kwamba
michuano inashuhudia kwa mara ya kwanza ushirkiano kwa idadi
hii kutoka timu, ni timu kubwa zaidi katika historia ya matoleo
yaliyopita kutoka michuano ya ulimengu ,zitajumuisha pia wachezaji 88 kutoka
nchi zinazoshirki ,Ukurania itakuwa
nchi inayoshirki kwa idadi kubwa
katika toleo hili baada ya Misri katika ujumbe ni wachezaji 19 .
Comments