Mhusika wa runinga ya Misri alimaliza kuunda makundi ya wakurugenzi wa filamu wanaohusika kuelekeza michuano ya mataifa ya Afrika chini ya umri 23 inyokaribishwa na Misri tangu tarehe 8 mpaka 22 mwezi huu wa Novemba .
Na imeshaundwa
makundi mawili kwa
kazi ya kwanza
kwa usimamizi wa
mkurugenzi wa programu
Mohamed Nasr na
uelekezaji wa mechi
zinzofanyiwa kwenye uwanja
wa kairo utafanya
kazi tangu mechi
za ufunguzi na ya
pili kwa usimamizi
wa Hisham Abdel
Elwadod na utachukua kutangaza mechi
za kundi la
pili kwenye uwanja
wa Elslama .
Na Utoaji wa mechi
za michuano ya
Afrika utategemea kamera 10 tu
, kinyume cha michuano
ya mataifa ya
Afrika kwa watu
wazima , ambayo ilishuhudia
kutangaza mechi kwa
kamera 24 , licha ya
hivyo Muhamad Nasr ,
Hisham Abdlwadod na makundi ya
Utoaji na upigaji picha waliahidi kuonesha
michuano vizuri ingawa
kutopatikana uwezo uliokuwepo
katika michuano iliyopita , ambapo inatangaza
kwa kwa vyombo vile
vile vinavyopatikana katika
runinga kwa mfumo wa
Misri tupu . Ambapo
ilimhusisha kazi ya
uelekezaji wa sherehe ya
ufunguzi kwa mkurugenzi
" Emad El ghul "
wakati ambapo Muhamad
nasr kuchukua nafasi
ya kuelekeza mechi
ya Misri na Mali
baada ya kumalizika
sherehe ya ufunguzi
.
Comments