Katibu mkuu wa CAF anashukuru serikali ya kimisri kwa uungaji mkono kwa michuano ya bara

 "Muaz  Hagy  " katibu  mkuu  wa  CAF  alionesha  furaha  yake  kwa  kurudi tena  kwa  Misri na  kuwepo  katika  mashindano  ya  mwisho  wa  mataifa  ya  Afrika  chini ya  umri  23 na  ambayo  yanakaribishwa  kwa Misri  tangu  tarehe  8 mpaka  tarehe  22 Novemba  huu  , akisisitiza  kuamini  kwake  kutoka  kushinda  Misri  katika  kupanga  baada  ya  utendaji  unaovutia  inaoutenda  katika  mataifa  ya  Afrika  kwa  watu wazima  likizo lililopita .

 

"Hagy  " alisema  katika  mkutano  wa  wanahabari  unaofanyiwa  leo  :- kuwa nina Heshima kwa  kuwepo  kwangu  hapa   tena  baada  ya  michuano  ya  mataifa  ya  Afrika ya  wazima  katika  likizo  ilipitayo  , haswa   ni  tukio  muhimu  sana  katika  soka  ya  Afrika  " 

Akiendelea  kusema  :  naishukuru  serikali  ya  kimisri  na  rais Abdlefatah  elsisi  kwa  kutusaidia  katika  kupanga hapa michuano  hiyo  nashukuru  kamati  ya  usimamizi  kwa jitihada zao. 

 

Aliongeza  : sina la  kusema  kwa kutosambamba  michuano  na  Ajenda  ya  kimataifa   jambo  hili  linahusu  Al  FIFA na  halituhusu .

Na  juu  ya  kusitisha kukabiliana  na  kampuni  ya  " lagarder "  mhamishaji wa habari wa kisasa   kwa  michuano za  KAF   alisema  :- nitaongea  kuhusu  kinachohusiana  na  michuano  ambayo  yanazindua  kesho   na  uamuzi  huu  huhusisha  uadilifu  wa  Kimisri  na  hatukuwa  na  hiari  na sikujali  kwa maelezo  zaidi  vilevile  ,itakuwepo   maelezo rasmi kutoka  CAF.

Comments