Kamati ya maandalizi ya mashindano ya kombe la mataifa ya kiafrika yakanusha kubadilisha Timu kwa makazi yake.


Kamati  ya maandalizi ya Michuano  ya kombe la mataifa ya kiafrika mwaka wa 2019,inayoandaliwa kwa Misri  mnamo Juni ijiyo,  imeumaliza utata  "imeeleza"  habari iliyoenea  hivi karibuni  kuhusu utashi wa baadhi ya timu kubadilisha makazi yake na kuelekea  hoteli nyingine,  baada ya  Tangazo la  jedwali za  hoteli zote kwenye  mikoa tofauti hivi karibuni,  Na hayo yametimia kupitia kusisitiza kwamba  kamati hiyo haina mipango yoyote  ya kubadilisha  makazi ya timu zilizoshirikiana katika Michuano hayo mnamo kipindi kijacho baada ya tangazo lake rasmi baada ya  sherehe ya kura iliyofanyika tarehe 12 Aprili katika eneo la mapiramidi,Giza. Aidhaa kamati hiyo ya maandalizi chini ya usimamizi wa mhandisi Hani Abu Ziad imesisitiza kwamba  hakuna nia yoyote ya kubadilisha makazi  kwa mujibu wa vipengele vya miongozo "Taarifa",  na timu iliyotaka kuelekea  hoteli nyingine itabeba matumizi yake  binafsi  mbali na tume iliyoandaa mashindano.Mpaka saa timu zote zinafuata mikakati ya makazi na viwanja vya mazoezi.

Comments