Tarehe 12 Novemba ... Kuanzisha mkutano wa tamaduni za kiafrika kwa ushirikiano wa nchi 20

Baraza kuu la utamaduni kwa uangalifu wa Dokta HESHAM AZMY lilianzisha shughuli za mkutano wa nne wa kimataifa kwa kushirikiana kwa tamaduni za kiafrika " tamaduni za kiafrika kwenye ulimwengu wenye mabadiliko ' ; mnamo kipindi cha 12 hadi 24 Novemba , kwenye makao makuu ya baraza kuu la utamaduni mjini Kairo . Hiyo kama matukio ya kiutamaduni yanayopangwa kwa wizara ya utamaduni kwa mnasaba wa utawala wa Misri kwa urais wa Umoja wa kiafrika .

Mkutano uliofanyika kwa ushiriki wa idadi kubwa za watafiti na wataalamu kutoka kwa nchi 20 za kiafrika , na hizo ni : ( Libya , Tunisia , Algeria , Morocco , Ethiopia , Afrika ya kati , Uganda , Tanzania , Sudan , Sudan Kusini , Zimbabwe , Ghana , Kenya ,Moritania , Malawi , Nigeria , Senegal , Namibia , Niger na Misri )

kwa siku tatu kupitia vikao 10 vya kiutafiti , mkutano unajadili idadi za maudhui kuu kama ifuatavyo :
9_ sanaa na itikadi za umma barani Afrika.
1_ kusoma sera ya kiafrika
2_ maandamano ya dijitali na kuhifadhi historia ya kiutamaduni ya kiafrika .
3_ mwanamke wa kiafrika katika tamaduni za kiafrika .
5_ taasisi za jamii ya kiraia na maendeleo ya kiutamaduni barani Afrika .
4_ Mwingiliano wa kiutamaduni wa kiarabu wa kiafrika .
7_ misaada ya kiafrika nje ya Afrika .
6_ umiliki wa kifikra na kulinda historia ya kiutamaduni ya kiafrika .
8_ sanaa za kiafrika .
Pamoja na kufanyika mkutano wa majadiliano kwa anwani ( tamaduni za kiafrika kwenye ulimwengu tofauti ) , mkutano utaambatana na kufanyika maonesho barazani chini ya anwani ya "maonesho ya sanaa ya kimisri na mafanikio ya kiutamaduni ya kiafrika " , hujumuisha shughuli za wasanii 50 na kufanyika chini ya usimamizi wa Dokta SOHER OTHMAN , pembezoni mwa mkutano hufanyika maonesho ya machapisho ya wizara ya utamaduni ya kimisri pamoja na idadi za vikao vya kuchapisha na 5% punguzo kwenye machapisho ya baraza
10 _ Utamblisho wa kiutamaduni wa kiafrika.

matukio ya mkutano yatazinduliwa mnamo saa nne asubuhi ya siku ya jumanne ni tarehe 12 Novemba 2019 , barazani kuu la utamaduni , taasisi kadhaa za kiutamaduni zinashiriki , kama : kituo cha tafsiri ya kuandika kwa urais wa Dokta ANWAR MGETH kupitia uwepo wa tafsiri ya kuandika kwa karatasi na tafsiri ya moja kwa moja kwa ya matukio kutoka kiarabu kwa kiufaransa na kiingereza na kinyume , pia taasisi kuu ya kimisri ya vitabu kwa urais wa HAITHAM HAGAG ALI , husaidia kulipa gharama za machapisho ya kiutafiti na ya matangazo ya mkutano .
Tume inayopangwa mkutano huo , huongozwa na HELMY EL SHAARAWI pamoja na idadi za wataalamu wa tamaduni za kiafrika kama : Dokta AMANI EL TWIL , Dokta ANWAR MGETH , Dokta EMAN ELBASTAWISY , Bwana HASAN GHAZALY , Dokta KHALED ABU ELIL , Dokta RASHA ABU SHAKRA , Dokta SAHAR IBRAHIM , Dokta SAID FLIFL , Bibi AZZA ELHOSENY , Dokta MONA EBRAHIM , Dokta NADIA ELKHOLI , Bwana WAEL HESSEN .

Comments