Shirikisho la Kimataifa la Kuijenga Miili linamheshimu Adel Fahim kama kiongozi bora
- 2019-11-10 11:36:37
Shirikisho la
Kimataifa la Kuijenga miili, Kwa mara ya kumi, limemheshimu Dokta Adel Fahim,
rais wa Shirikisho la Misri la Kuijenga miili, rais wa shirikisho la Kiarabu na
kiafrika na makamu wa rais wa Shirikisho la Kimataifa, kama msimamizi bora wa
mwaka kwa mafanikio yake katika kueneza mchezo huo kwa viwango vyote vya bara
na kimataifa.
Hii ilikuja
baada ya mkutano wa Shirikisho la Kimataifa la Fugairah pembezoni mwa
mashindano ya dunia ya kujenga miili huko Fujairah, yatakayofungua shughuli zake Ijumaa.
Fahim alielezea
kufurahishwa kwake kuheshimiwa kwa mara ya kumi mfululizo kama shirika bora la
kiutawala na Shirikisho la Kujenga Miili la Kimataifa, akimshukuru Rais wa
Shirikisho la Kimataifa Rafael Santonga, na akajitolea kufanikiwa kwa familia
ya kujenga miili la Misri .
Mkutano huo
uliongozwa na Rafael Santonja, rais wa Shirikisho la Kimataifa, mbele ya Sheikh
Abdullah bin Hamad bin Saif Al Sharqi, Rais wa shirikisho la Jumuiya ya
Emirates na Mohammed Obed bin Majid, Mwenyekiti wa Kamati iandaayo mashindano
ya dunia ya Kuijenga miili , Khalil Marouf, Mkurugenzi wa mashindano, na
wakilishi wa Shirikisho la Kimataifa la nchi 101 ulimwenguni
Shirikisho
lilipitia wakati wa mkutano wa jumuiya hii , uliyofanyika leo katika klabu ya Zayed ya michezo huko Fugairah - mapendekezo maarufu zaidi
yanayohusiana na maendeleo ya michezo ya kujenga mwili, na uwezekano sio
kws vikundi vya ujenzi wa mashindano ya dunia tu kwa nchi moja bali kusambazwa kwa nchi
zingine.
Sheikh Abdullah
bin Hamad bin Saif Al Sharqi alisema katika hotuba yake, "Tuna heshima
kubwa kuitisha mkutano wa jumuiya kuu katika Fujairah. Mamlaka hii imetumia
uwezo wake wa kuandaa mashindano mazuri
ya dunia baada ya kutimiza maagano yake
yote.
Al-Sharqi
alitamani mkutano huo utafikia malengo na mafanikio ambayo kila mtu anatamani
kwa ajili ya kusonga mchezo mbele na
kufikia ushindani unaohitajika
Kwa upande
wake, rais wa Shirikisho la Kimataifa ametoa shukrani zake kwa nchi ya Emirates
kwa msaada wake na udhamini wa mchezo wa ujenzi wa mwili ulimwenguni,
kupitia mbalimbali, hasa mashindano ya
dunia ya kisasa .
Santonga
alionesha mapendekezo maarufu zaidi yaliyojadiliwa na mkutano mkuu, ikiwa ni
pamoja na usambazaji wa mashindano katika nchi mbali mbali za ulimwengu na sio
mdogo kwa nchi moja kama ilivyo katika michezo mengi, ili jamii ya Fizikia
katika nchi moja, wakati mashindano ya kujenga miili katika nchi nyingine, na
Classics katika nchi ya tatu nyingine, Ili kutoa fursa kwa nchi wanachama zingine ili kushiriki hafla na
mashindano na kutoa fursa kwa watazamaji wa mchezo huo katika nchi mbali mbali
za ulimwengu kufuata mashindano katika nchi zao.
Comments