waziri wa vijana na michezo akihudhuria mchezo wa ufunguzi wa kundi la pili la kombe la mataifa ya Afrika chini ya miaka 23
- 2019-11-10 11:46:20
waziri wa vijana na michezo Ashraf Sobhy
alishuhudia ufunguzi wa mechi za kundi B za kombe la mataifa ya
Afrika chini ya miaka 23 litakalokaribishwa kwa Misri mnamo kipindi cha 8- 22 Novemba ijayo
waziri huyo aliendeleza mechi huo kutoka kibanda kikuu
cha uwanja wa salam mechi huo kati ya Naigeria na Cote ďlvoire kwa kuhudhuria
mwenyekiti wa shirikisho la kiafrika la mpira wa miguu Bwana Ahmed
Ahmed
Dokta Sobhy
alionyesha matakwa yake mema kwa mafanikio kwa timu zote zinazoshirki
kwenye mashindano ya kufikia olimpiki ya Tokyo 2020 alionyesha kuhakikisha
utokaji wa mashindano hayo kwa njia nzuri katika ngazi zote za shirika na
kiufundi
waziri huyo pia alitoa mwito kwa mashabiki wa Misri kuhudhuria mechi ya timu ya olimpiki kwa
dhati kuwasaidia wachezaji kushinda na kufikia mchezo wa olimpiki.
Comments