shirikisho la kiafrika la mpira wa miguu "KAF" limerejelea mabadiliko ya ghafla kwa tuzo itakayotolewa kwa mwanaume wa mchezo huo mnamo michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika 2019



 shirikisho la kiafrika la mpira wa miguu "KAF" limerejelea mabadiliko ya ghafla kwa tuzo itakayotolewa kwa mwanaume wa mchezo huo mnamo michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika 2019. Aidhaa shirikisho hilo limefichua jambo jipya la kushitusha katika michuano hayo  ambalo  litakuwa ni umbo la vinyago vya kombe la michuano hutolewa  mnamo kila mchezo kwa mchezaji, mwanaunme wa mchezo huo. 


NA wanachuana katika ubunifu huu wa vinyago wabunifu saba  maarufu wa kimisri wamechujwa na kufikia wawili,   mmoja wao atakuwa ni mbunifu wa tuzo itakayotolewa katika michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika na ambayo yatafanyika tarehe 21 Juni.na wadhamini wameonesha  shughuli za kiufundi,  na kamati ya wawakilishi wa shirikisho la kiafrika,  na kamati ya maandalizi pamoja na msanii wa misri "Farghali Abdal Hafiiz" ilikaa kikao Na baada ya kupiga kura ya maoni zimewachagua wasanii wawili nao ni  Hassan Kamal na Hani EL-Saeed  kama  wagombea wa fainali, na kila mmoja wao ana historia ya kiufundi adhimu  na  ukiongezea na wasanii hao wawili wamefanya maonesho mbali mbali ndani na nje ya Misri.

Comments