Rais wa CAF anasifu usuluhishi wa wanawake

 Rais wa CAF Ahmed Ahmed,alisherehekea ushiriki wa Refa wa wanawake kwa mara ya kwanza katika historia ya Kombe la Mataifa ya kiafrika ya chini ya miaka 23. Mechi kati ya Afrika Kusini na Zambia ilisimamiwa na Refa Salima Mokansanga kutoka  Rwanda na kusaidiwa na kutika Morocco Fatiha Jermoumi kama wanawake wawili wa kwanza kushirikiana kwenye mechi katika historia ya mashindano hayo, Baada ya jaribio la kwanza la CAF katika

Mashindano ya Mataifa ya kiafrika chini ya miaka 17 Katika Aprili mwaka jana.

 Ahmed Ahmed alikuwa na hamu ya kushuka kwenda kwenye chumba cha refarii baada ya mchezo huo kusherehekea utendaji wa refarii hawa wawili kwenye mchezo wa leo na aliwapongeza kwa utendaji mzuri ambao walioonekana na kuchukua picha pamoja nao.

Comments