Mmisri Mohamed Abd Al-naby anashinda tuzo ya bao bora zaidi katika kombe la mabara kwa mpira wa Pwani
- 2019-11-12 18:16:38
Kamati iandaayo michuano ya kombe la mabara kwa mpira wa Pwani imechagua bao la Mohamed Abd Al-naby katika wavu ya timu ya kitaifa ya Urusi kama bao bora zaidi la michuano hiyo.
Timu ya kitaifa ya Misri imeshindwa kutoka timu ya kitaifa
ya Urusi kwa 5/3 miongoni mwa mashindano ya kombe la mabara yaliyofanyika mjini
Dubai mnamo kipindi cha tarehe 3 hadi 9, mwezi huu wa Novemba.
Timu ya kitaifa ya Misri ya mpira wa Pwani imeshindwa mbele
ya Japan kwa 2/7 katika mechi iliyochezwa kati yao mjini Dubai katika kombe la
mabara.. Kwa tija hiyo, timu ya kitaifa ya mpira wa Pwani imepata nafasi ya
sita ya michuano hiyo, huku timu ya kitaifa ya Japan imepata nafasi ya tano.
Ujumbe wa timu ya kitaifa ya Misri ya mpira wa Pwani mjini
Dubai unaongozwa na Sahar Abd Alhak"mwanachama wa baraza la uongozi wa
shirikisho la mpira wa Pwani na msimamizi wa mpira wa Pwani", huku
wanachama wa wafanyikazi wa kiufundi ni : Mostafa Lotfy ambaye ni mkurugenzi wa
kiufundi, Abd Alwahed Alsayed ni mkurugenzi wa timu ya kitaifa, Amr Helmy ni
kocha mkuu, Ahmed Abo Seree ni kocha, Yasser Abd Alkhalek ni kocha wa kipa,
Walid Manzour ambaye ni Daktari na Abaas Hassanen ambaye ni mtaalamu wa
matibabu.
Wachezaji ni :Mohamed Fawzy, Abd Alaziz Sabah, Mostafa
Samir, Mostafa Ahmed, Mostafa Ali, Hasaan Mohamed, Haytham Atef, Ahmed
Alshahaat, Karim Sayed, Mohamed Abd Alnaby, Abd Alrahman Hassan na Alhusseny
TaHa.
Comments