Mmisri Mohamed Abd Al-naby anashinda tuzo ya bao bora zaidi katika kombe la mabara kwa mpira wa Pwani

 Kamati iandaayo michuano ya kombe la mabara kwa mpira wa Pwani imechagua bao la Mohamed Abd Al-naby katika wavu ya timu ya kitaifa ya Urusi kama bao bora zaidi la michuano hiyo.

Timu ya kitaifa ya Misri imeshindwa kutoka timu ya kitaifa ya Urusi kwa 5/3 miongoni mwa mashindano ya kombe la mabara yaliyofanyika mjini Dubai mnamo kipindi cha tarehe 3 hadi 9, mwezi huu wa Novemba.

 

Timu ya kitaifa ya Misri ya mpira wa Pwani imeshindwa mbele ya Japan kwa 2/7 katika mechi iliyochezwa kati yao mjini Dubai katika kombe la mabara.. Kwa tija hiyo, timu ya kitaifa ya mpira wa Pwani imepata nafasi ya sita ya michuano hiyo, huku timu ya kitaifa ya Japan imepata nafasi ya tano.

 

Ujumbe wa timu ya kitaifa ya Misri ya mpira wa Pwani mjini Dubai unaongozwa na Sahar Abd Alhak"mwanachama wa baraza la uongozi wa shirikisho la mpira wa Pwani na msimamizi wa mpira wa Pwani", huku wanachama wa wafanyikazi wa kiufundi ni : Mostafa Lotfy ambaye ni mkurugenzi wa kiufundi, Abd Alwahed Alsayed ni mkurugenzi wa timu ya kitaifa, Amr Helmy ni kocha mkuu, Ahmed Abo Seree ni kocha, Yasser Abd Alkhalek ni kocha wa kipa, Walid Manzour ambaye ni Daktari na Abaas Hassanen ambaye ni mtaalamu wa matibabu.

 

Wachezaji ni :Mohamed Fawzy, Abd Alaziz Sabah, Mostafa Samir, Mostafa Ahmed, Mostafa Ali, Hasaan Mohamed, Haytham Atef, Ahmed Alshahaat, Karim Sayed, Mohamed Abd Alnaby, Abd Alrahman Hassan na Alhusseny TaHa.

Comments