Waziri wa vijana na michezo analizuru kambi la timu ya kitaifa ya olimpiki kabla ya mechi yake na mwenzake timu ya Ghana
- 2019-11-12 18:20:17
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo akiambatana na Imara Elganaini mkuu wa kamati ya pande tano za shirikisho la kimisri la mpira wa miguu jioni ya siku ya jumapili alitembelea kambi la timu ya kitaifa ya kimisri ya olimpiki kwa mpira wa miguu kwa uongozi wa Shawky Gharib Kocha wa kiufundi wa timu na kifaa chako kinachosaidia ili kuwahamasisha wanachama wote wa timu kabla ya mechi ya mzunguko wa pili inayofanyika kesho Jumatatu na mwenzake wa Ghana katika mashindano ya mataifa ya kiafrika chini ya miaka 23 yanayokaribishwa kwa Misri kupitia kipindi cha 8 hadi 23 mwezi wa Novemba na yanayofikisha olimpiki ya Tokyo 2020
Na kupitia mkutano Dokta Ashraf Sobhy
waziri wa vijana na michezo alielezea imani yake kubwa katika wachezaji
wote wa timu ya kitaifa ya olimpiki na chombo cha kiufundi , akiashiria kwamba
timu inajumuisha idadi kubwa za wachezaji
na aliusifu utendaji wao kupitia mechi za kwanza mbele ya timu ya
kitaifa ya Mali
Na waziri wa vijana na michezo aliwaomba wachezaji wa timu
wafanye kila juhudi kupitia mechi zinazofuata ili kufikia jina la mashindano na
kufikia olimpiki ili kuiheshimu
Misri na kuwafurahisha wananchi wa Misri
Na ziara ya waziri wa vijana na michezo ya timu ya kitaifa
ya olimpiki ilikuja katika umakini wake kwa kuendelea kuzifuata mara kwa mara timu zote za kitaifa
katika michezo mbalimbali ya spoti
Inatajwa kwanza timu ya kitaifa ya olimpiki ya Misri inachukua nafasi ya kwanza kati ya vikundi
katika mashindano kwa nukta 3 baada ya ushindi katika mzunguko wa kwanza juu ya
timu ya kitaifa ya Mali katika mechi ya kufunguliwa mashindano na katika
kikundi hicho hicho timu za Ghana na Cameroon zinachukua nafasi ya pili na ya
tatu kwa nukta moja kwa kila mmoja wao ,
wakati ambapo Timu ya Cote d'Ivoire
inachukua nafasi ya kwanza katika kikundi cha pili kwa nukta 3 baada ya ushindi
katika mzunguko wa kwanza juu ya mwenzake wa Nigeria katika kikundi ambapo
zinashindana na timu za kitaifa za
Zambia na Afrika kusini
Comments