Rais wa shirikisho la Afrika kwa Mpira wa mikono akishuhudia kuanza Shughuli za Chuo cha Kiafrika katika Kituo cha Olimpiki

 Manssor Arimo, Rais wa shirikisho  la Afrika kwa mpira wa mikono, akishuhudia kuanza Shughuli za Chuo cha Kiafrika kwa mpira wa mikono, Kikao cha kwanza cha wakufunzi kilichofanyika kwa mahudhurio ya  makocha 31 kutoka nchi 17 za kiafrika.

 

Arimo pia anashuhudia uteklezaji  wa mkataba wa uelewa kati ya Wizara ya Vijana na Michezo, shirikisho la Afrika kwa mpira wa mikono na Shirikisho la Misri kwa mpira wa mikono Ili kuboresha shughuli za Chuo wakati wa miaka mitano ijayo.

 

Arimo pia anajadili na wakuu wa Shirikisho la Misri kwa mpira wa mikono mpango wa kukuza mchezo huo Afrika kwa kuzingatia kuanza kwa Chuo cha Kiafrika cha Misri na kujadili njia za ushirikiano na mashirika mengine ya Afrika.

Comments