"Udhibiti wa kiidara waanzisha Programu 31 za kidiplomasia kama mafunzo kwa Afrika".
- 2019-05-04 11:52:31
Mnamo kuimarisha mahusiano ya kiafrika pamoja na Chuo cha masomo ya kidiplomasia kinachohusu Wizara ya mambo ya nje ya kimisri, kwenye makao makuu ya taasisi ya udhibiti wa kiidara, zilifanyikwa Programu 31 za kidiplomasia za kutoa mafunzo madogo kwa nchi za kiafrika zinazotamka lugha ya kifaransa chini ya kichwa cha"kuimarisha Uwezo na kupambana Ufisadi katika nchi za kiafrika ", na mnamo Programu hii zilijua tabia ya shughuli za taasisi ya udhibiti wa kiidara, mchango wake wa kuzuia na kupambana Ufisadi, kutoa mifano ya kampeni za kimatangazo, zilizofanywa kwa taasisi hii kwa ajili ya ; Uelewa wa kijamii kwa njia na mitindo tofauti kwa kupambana Ufisadi na kuhimiza wananchi ili; kushirikiana kuondoa Uhalisia wa Ufisadi, pia zilionyeshwa alama za kimkakati za kitaifa za kupambana Ufisadi, na mchango wa Udhibiti wa kiidara wa kuzitekeleza 2019-2022, pia ilitoa mwanga juu ya badhii ya Aya za mkataba wa Umoja wa mataifa wa kupambana Ufisadi na kuonyesha badhii ya masuala yaliyofanyikwa kwa taasisi.
Na Jenerali mkuu bwana Sherif Seif Eldin " mkuu wa udhibiti wa kiidara ", alianzisha kauli yake kwa kuwakaribisha Balozi " Sameh Abo ElEnin" ambaye ni msaidizi wa waziri wa mambo ya nje, na mkurugenzi wa Chuo cha masomo ya kidiplomasia, pamoja na waliohudhuria toka wanadiplomasia waafrika, pia alitoa mwanga Kwa tabia ya shughuli za Chuo cha kitaifa cha kupambana Ufisadi, kinachofuata taasisi ile, ambacho mnamo mkutano wa Afrika mwezi wa Desemba 2018 mjini mwa Share ElShekh , Rais Elsisi alionyesha mchango wake.
Comments