Waziri wa vijana na michezo na Elimu ya juu wanauheshimu ujumbe wa shirikisho la michezo kwa vyuo vikuu

 Dokta Ashraf sobhy waziri wa vijana na michezo na Dokta Khaled Abd Elghafar waziri wa elimu ya juu waliheshimu ujumbe wa shirikisho la michezo kwa vyuo vikuu , na hivyo ni Baada ya kuchukua kwao nafasi ya kwanza katika mashindano ya kiarabu Ya vyuo vikuu ya tatu ya mpira wa miguu na yalifanyika mjini kwa Abu Dhabii nchini Emirates kupitia kipindi cha 29 mwezi wa Oktoba hadi 9 mwezi wa Novemba

 

Na Dokta Khaled  Abd Elghafar alimkaribisha Dokta Ashraf Sobhy katika wizara ya elimu ya juu  , akisistiza kwamba shirikisho la michezo la vyuo vikuu liliimarisha katika enzi ya Dokta Ashraf Sobhy na matokeo na utendaji wake uliendeleza katika mashindano mbalimbali

 

Na sobhy alimshukuru dokta khaled abdelghafar kutokana na kukaribisha kwake katika wizara ya elimu ya juu , akisisitiza kwamba wizara za vijana na michezo na elimu ya juu na utafiti wa kisayansi zinakamilika katika nyenzo nyingi mbalimbali na akiongeza kwamba dokta abdelghafar alikuwa amefuatilia mashindano ambayo ujumbe wa  shirikisho la michezo kwa vyuo vikuu uliyaingia katika mashindano ya mwisho baada ya ushindi wake juu ya Oman katika mechi ya mwisho

 

Na waziri  wawili waliuheshimu ujumbe na chombo cha kiufundi baada ya ushindi wao wa nafasi ya kwanza katika mashindano

Comments