Taratibu ya kundi la timu ya taifa ya Olimpiki katika mataifa ya Afrika baada ya kushinda Ghana

 Raundi  ya pili  kwa  kundi  la  kwanza  ilimalizika  inayokusanya   timu ya  taifa  ya  Olimpiki   , Cameron  ,Ghana  na  Mali   katika  michuano  ya  kombe  la  mataifa  ya  Afrika   inayofanyiwa  nchini  Misri   tangu  tarehe  8 mpaka  tarehe  22 mwezi  huu  wa  Novemba  .

 

Timu  ya kitaifa  Cameroon  ya Olimpiki  alishinda   Mali  katika  mechi  ya  leo  kwa  1/0  , na  timu  ya  kitaifa ya  Olimpiki  ilishinda Ghana  kwa 3/2  katika  mechi  inayoshuhudia  hamasa  na Msisimo  mkubwa  .

 

Kwa  matokeo  hayo  mafarao  walifikia  kileleni mwa  kundi  la  kwanza  kwa  nukta  6 ,Cameroon  katika  nafasi  ya  pili  kwa  nukta  4 , Ghana  katika  nafasi  ya  tatu  kwa  nukta  moja   ,na  Mali  katika  nafasi  ya  mwisho  bila  nukta  yoyote.

Comments