Sobhy anaipongeza timu ya kitaifa ya Misri ya Olimpiki baada ya kushinda timu ya kitaifa ya Ghana na kufikia kwake zamu ya 4
- 2019-11-12 18:30:35
Waziri wa vijana na michezo, Dokta Ashraf Sobhy na Amr Alganyny mwenyekiti wa shirikisho la soka wamejali kuingia uwanja wa mpira wa Kairo kwa ajili ya kuipongeza timu ya kitaifa ya Olimpiki baada ya kufikia kwake zamu ya 4 katika kombe la mataifa ya Kiafrika chini ya miaka 23, linalofanyika mjini Kairo mpaka siku ya 22, mwezi huu wa Novemba.
Sobhy na Alganyny wamemchukua Shawky Ghareeb mkurugenzi wa
kiufundi wa timu ya kitaifa ya Misri, wakielekea mashabiki kwa ajili ya
mapongezi yao kwa kuhimiza timu ya kitaifa ya Misri katika wakati wa mechi
zote.
Timu ya kitaifa ya Misri imeweza kubadilisha tija baada ya
ucheleweshaji wake kwa mabao mawili kwa bao moja, ili kufuzu kwa mabao matatu,
kwa hivyo imechukua nafasi ya kwanza kwa alama kamili na kudhamini kufikia
kwake zamu ya 4, bila ya kujali tija yake pamoja na timu ya kitaifa ya
Cameroon.
Comments