sifu ya kimataifa kwa waziri wa michezo na Shirikisho la Mpira kwa kufanikiwa Mataifa ya Afrika chini ya miaka 23

 Fatima Samora wa Senegal , Katibu Mkuu wa FIFA, Mwenyekiti wa Kamati ya Usimamizi ya FIFA ya Jumuiya ya Afrika, aliisifu Misri kwa uandaaji wa Mashindano ya Mataifa ya Afrika chini ya miaka 23 na kufikia Olimpiki ya Tokyo 2020.

 

Kwenye akaunti yake ya Twitter, Samora alimshukuru Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo, Amr El-Janaini, Mwenyekiti wa Kamati iandaayo kwa mashindano na Rais wa Shirikisho la Misri Kwa mpira wa miguu, pamoja na wakuu wa Gabalaya na Kamati inayoandaa kwa muonekano mzuri, na mapokezi mazuri, wakati walipokuwa kwenye mechi ya Misri na Ghana  Uwanja wa Kimataifa wa Kairo , uliomalizika kwa ushindi wa  Mafarao 3/2, ndani ya mzunguko wa pili wa hatua ya kikundi.

 

Samora pia alitoa salamu maalum kwa Mashabiki wa Wamisri,  waliohudhuria mechi huo akisifu uhamasishaji mzuri na msaada wa wachezaji bila kupita  mipaka yoyote.

Comments