Waziri wa vijana na michezo anamheshimu mtoto mmisri wa kwanza mwenye ulemavu aliyepanda kilele cha mlima wa Musa

 Dokta Ashraf Sobhy  waziri wa vijana na michezo alimheshimu mtoto Mohame Ahmed Ali  mtoto mmisri wa kwanza mwenye ulemavu kama;(maradhi ya Dawn)anapenda kilele cha mlima wa Musa katika Sant Katrin .ambacho ni kilele cha juu mno nchini Misri.

 

Yeye pia alimheshimu mzizimizi Mazen Hamza kwa hudhuria mwanahabari Ahmed shober na Dokta Hayah Khatab mwenyekiti wa kamati ya Baralambia ya kimisri.Dokta Sonya Donya mkurugenzi mkuu kwa utawala mkuu kwa makundi ya vijana kwenye wizara ya vijana na michezo.

 

Sobhy alisema kwamba jaribio la mtoto Mohamed Ahmed la kupanda mlima wa Musa kwenye Sant Katren ;ilihimiza Vijana kwa kujaribu hii.akiashiria kwamba wizara itahangaika mnamo awamu ujayo kupanga duru kama hii kuongeza hisi ya uaminifu na utaifa kwa vijana wamisri .

 

Iliamua kuongeza thamani ya sawa ya kifedha kwa mtoto Mohamed Ahmed ambaye anasumbulia na maradhi ya dawn aliyepanda kilele cha mlima wa Musa kwenye Sant Katren kutoka elfu 5000 kwa elfu 10000. pamoja na kumpokea mtoto ngao ya wizara na cheti cha Heshima .Pia mzizimizi Mazen Hamza alimpokea cheti ya Heshima na kadi kwa elfu 5000 na ngao ya wizara .

 

Ikisemwa kwamba wizara ya vijana na michezo ilipanga matembezi kwa mkoa wa Sinai Kusini  ulioshihidi kupanda mtoto Mohamed Ahmed Ali kwa mlima wa Musa akiwa mtoto mmisri wa kwanza (maradhi ya dawn)anayepanda kilele cha juu nchini Misri kwa kuambatana mzizimizi Mazen Hamza.

Comments