Tangazo kwa Waafrika - wasio Wamisri - wanaoishi kwenye Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Utekelezaji wa mpango wa "Mkutano wa Afrika"
- 2019-11-14 15:26:23
chini ya kauli mbiu ya tunakamiliana pamoja kwa ajili ya kukuza Amani ya jamii
kulingana na Maoni ya Misri ya 2030, mwelekeo wa nchi na uongozi wa kisiasa katika hatua hii ,kuamini kwa uwezo na nguvu ya vijana wa bara hilo, ili kueneza na kuimarisha utamaduni wa utofauti na kukubalika wengine na Amani ya jamii miongoni mwa makundi mbali mbali ya jamii kwa ajili ya kueneza utamaduni huu kati ya jamii ya vijana katika nchi za kiafrika khasa baada ya migogoro ili kusimamisha uhalisia wa Ghasia na Msimamo mkali.

pamoja na kueneza utamaduni chanya na ushiriki kati ya watu na taasisi za jamii na kuongeza mipango na miradi ya jamii inayohusika na kujenga Amani ya jamii.
Wizara ya Vijana na Michezo inatimiza "Mkutano wa Afrika" tunakamilishana pamoja ili kueneza Amani ya jamii (unaratibiwa kwa hatua)
Malengo ya Programu:
- Kueneza utamaduni wa Amani ya jamii na kukubalika Wengine.
- Kukuza maadili ya utofauti, kukubalika wengine na Amani ya jamii kati ya vikundi tofauti.
- Kuongeza nafasi za mipango na miradi ya jamii inayohusika na kujenga Amani ya jamii.
- Kuongeza ushiriki wa wanawake katika shughuli na kuwapa ujasiri unaowasaidia kujihusisha katika shughuli za kijamii.
kikundi kinachoamuliwa : Nchi 20 za Kiafrika
Umri : toka miaka 20 hadi 35.
Idadi ya washiriki: 4 x 25 nchi = watu 100.
Kipindi cha utekelezaji: siku 5 kutoka 20 hadi 30 Novemba 2019.
Mahali pa kufanyika : Kituo cha Olimpiki huko Maadi.
Programu hiyo inatekelezwa kupitia mihadhara, warsha na shughuli za mwingiliano na ubunifu.
Mada za programu:
- Nguzo za amani za jamii.
-Jukumu la wanawake katika kujenga na kukuza Amani ya jamii.
- Amani ya jamii na kuacha ghasia katika mawazo ya Kiislamu.
- Tamaduni ya kuvumiliana na kukubalika kwengine.
kwa kujiunga na programu hiyo, tafadhali tuma jina lako, nambari ya pasipoti, utaifa na nambari ya simu kwa anwani ya barua pepe inayotolewa.
wagihfayzz@gmail.com
Comments