Mkutano wa kamati ya kiafrika kwa Uadilifu na mambo ya kisheria huko kairo


Kikao cha nne cha Kamati ya Ufundi  maalumu ya Umoja wa kiafrika kwa Uadilifu na mambo ya Kisheria kinachofanyika sasa hivi  katika kairo, kwa upande wa kiwizara na wajuzi pia.  .Kamati imepangwa kuzungumza na kupitisha kusasisha nyaraka za kisheria za Shirika la Maendeleo la kiafrika (NEPAD) na Mchakato   wa Mapitio ya rika za Kiafrika.


Mikutano hii iliandaliwa kwa ushirikiano wa Wizara ya Mambo ya Nje, pamoja na Ubalozi wa Misri huko Addis Ababa, mamlaka ya kitaifa husika na Ofisi ya Mshauri wa Kisheria wa Umoja wa Afrika, iliyoongozwa na Balozi Dkt Namira Najm.

Comments