Rais wa chuo kikuu cha Al azhar Dokta Mohamed El-Mahrasawi alifungua sherehe ya ufunguzi wa chuo kikuu cha Al azahar katika vyuo vikuu vya kiafrika imewekwa kwa mara ya kwanza nchini Misri chini ya anwani " Elimu .. lango la Afrika kuelekea Usalama na Amani "
sherehe ya ufunguzi ilihudhuriwa na Dokta Khaled Irfan mwenyekiti wa kitivo cha elimu , mwenyekiti wa kitivo cha dawa Dokta Amani Al sharif , mratibu wa umoja wa kanda ya vyuo vikuu vya Afrika kaskazini , makamu wa kitivo cha elimu na Dokta Ibrahim Al samadouni na makamu mkuu wa utafiti wahitimu wa kitivo wa masuala ya elimu na wanafunzi Dokta Gamal Al Hawari
hii ilikuja ndani ya mfumo wa Urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika chini ya uenyekiti wa Rais Abd Elfattah El sisi sambamba na mbinu ya nchi ya uwazi na ushirikiano na vyuo vikuu vya bara la Afrika na upendeleo wa imamu mkubwa sheikh Ahmed El tayeb kwa mustakabali nzuri kwa watu wa bara la Afrika katika vyuo vikuu mbalimbali vya kiafrika
mwanzoni mwa hotuba yake , rais wa chuo kikuu cha Al azhar aliwapongeza waliokuwepo kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa mtume na aliwakaribisha wakilishi wa vyuo vikuu vya Afrika na wakilishi wa vyuo vikuu vya kimisri na kiarabu
Rais wa chuo kikuu alisisitiza kuwa Misri ndio lango la kelekea barani Afrika na Al azhar ndio lango la ulimwengu ambapo zaidi ya wanafunzi elfu 23 wanafunza kati ya wanafunzi hawa, 1700 katika kiwango cha wahitimu waliwakilisha zaidi ya nchi 100 zote zilizoandikwa katika taasisi ya Al azhar ni msikiti na chuo kikuu kinachoongozwa na sheikh mkubwa Dokta Ahmed Al tayab
Rais wa chuo kikuu alieleza kwamba hii inakuja ndani ya mfumo wa hamu ya Al azhar kufungua na kushirikiana na bara hili katika nyanja mbalimbali za kisayansi , alisema kwamba chuo kikuu kilikuwa mwanzishi wa muktadha huu kwani kilikua mwanachama wa umoja wa vyuo vikuu vya Afrika tangu mwaka jana chuo kikuu cha Al azhar kinakaribisha makao makuu ya chama cha vyuo vikuu vya kiafrika pia ilishiriki na kuandaa olimpiki ya kwanza ya vijana wa vyuo vikuu vya kiafrika iliyofanyika Machi ya mwaka jana chini ya usimamizi wa Rais El sisi na sheikh Rajab Tayab
katika hotuba yake , aliongeza kuwa chuo kikuu cha Al azhar baada ya kuwa mshiriki wa baraza la chama cha vyuo vikuu vya Afrika vinavyowakilisha vyuo vikuu vya nchi za kaskazini mwa Afrika , makao makuu ya kudumu ya umoja wa vyuo vikuu vya Afrika kusini ilizinduwa katika kituo cha uuzaji cha uchumi wa kiislamu katika chuo kikuu cha Al azhar kwenye chuo kikuu cha mji wa Nasr.
alisema kwamba kupitia makao makuu haya shughuli kadhaa zilipangwa ikiwa ni pamoja na kufunguliwa kwa makao makuu na warsha kwenye Utengenezaji wa dawa na utafiti wa kisayansi , kushikilia olmpiad ya kwanza ya michezo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya Afrika na kufanya mkutano wa elimu ya juu barani Afrika na maendeleo ya mapendekezo na mifumo ya utekelezaji
rais wa chuo kikuu alisema kuwa kichwa cha maadhimisho hayo kina umuhimu na dhamana " elimu...lango la Afrika kuelekea Usalama na Amani " alisema kwamba wiki ni tukio la kipekee ambalo taasisi za elimu ya juu barani Afrika zinaadhimisha kumbukumbu ya kuanzishwa kwa umoja mnamo Novemba 12 mwaka 1967 mjini Rabat mji mkuu wa Morocco pia ni tukio muhimu kwa mashauriano na kubadilishana kwa habari na ushirikiano kati ya taasisi za elimu ya juu barani Afrika na vyombo muhimu barani Afrika kufafanua mikakati na njia , vilevile huamua hali ya ubora wa elimu ya juu katika kukuza usalama na amani kuelekea umoja na kuongezeka kwa Afrika
alisisitiza kwamba kupitia elimu tunaweza kubadilisha maoni, kukosekana Uongo kupitia elimu kutakuwa na kubadilishana uzoefu kati ya wanafunzi wa kiume na wa kike na kila mmoja kati ya vijana wa vyuo vikuu vya kiafrika pia inafungua mlango wa kubadilishana uzoefu kati ya wanachama wa kitivo na wafanyikazi msaidizi katika chuo kikuu cha Al azhar na vyuo vikuu vya Afrika ili kujadili masuala na mada zinazohusiana na kuboresha ubora wa elimu ya juu na umuhimu wake katika maendeleo ya bara kwa ujumla kwa kufanya shughuli zinazohusiana na mada ya wiki katika taasisi mbalimbali za elimuً
Comments