Waziri wa michezo na Elgnaini wanatoa pongezi kwa Shawky Ghareb kwenye uwanja wa michezo kwa kushinda Cameroon

 Dokta  Ashraf Sobhy waziri  wa  michezo  , Amr Elganaini  mwenyekiti  wa  shirikiano  la mpira  na wajumbe  wa  kamati  ya  tano  wanajali  kuwepo uwanjani  mwa  michezo  katika  uwanja  wa  kimataifa wa  Kairo   na  kutoa  pongezi  kwa  Shawky Ghareb  mkuu  wa  kiufundi  wa  timu ya  kitaifa  ya Olimpiki na wachezaji  mafarao  kwa  kushinda  Cameroon na  kufikia  kundi  la  kwanza. 

 

 Na  Ramadani  Sobhy mchezaji  wa  klabu ya Elahli  na  timu  ya kitaifa ya Olimpiki  alisherehea na  hadhira  wanaokuwepo  katika  uwanja  wa kimataifa  wa Kairo  .

 

 Na  timu  ya kitaifa  ya Olimpiki kwa njia rasmi  ilifikia nusu  fainali  baada ya  kupata   Alama  kamili  kwa  nukta  tisa  katika  duru  la  kwanza  la  michuano  ambapo  ilishinda  Mali  kwa  bao  safi   na  Ghana  kwa  mabao  matatu  mbele ya  mabao mawili   . Na  kwa  Cameroon kwa  mabao  mawili  mbele ya  bao moja  katika  duru  la tatu   , ili  kufikia  kundi  la  kwanza  katika  fainali ya  michuano ya kombe la mataifa ya  Afrika  chini  ya umri  23 inayokaribishwa  Na  Misri  tangu  8 mpaka  22 mwezi  huu  wa  Novemba  na  inayofikisha   duru  la  michezo  ya  Olimpiki  ( Tokyo 2020) .

Comments