Mbingwa Mohamed Safwat , mbingwa wa Misri na Afrika katika
mchezo wa Tenisi aliweza kushinda kwenye duru ya nusu fainali kwa Mashindano ya
Helsiniki ya KIfini ya Tenisi .
Safwat alimshinda mwenzake wa kihispania ,Carlos Tabner kwa vikundi viwili kwa 6/1 na 6/3 ,
kwenye mechi iliyowajumuisha kwenye duru
ya nusu ya fainali ya Mashindano ya
Helsiniki .
Na kwa hivyo , mbingwa mmisri aliweza kufikia mechi ya
mwisho kwenye mashindano .
Comments