Ujumbe wa kimisri wa Skwashi ulirudi katika uwanja wa kimataifa wa Kairo Jumamosi ,baada ya kupata jina la michuano ya dunia ya Skwashi kwa umoja kwa wanaume iliyofanyiwa nchini Qatar tangu tarehe 8 mpaka tarehe 15 mwezi huu wa Novemba kwa thamani tuzo za kifedha zinzofikia dola elfu 355 na zinzopewa kwa bingwa wa Misri Tarek Mouman mchezaji wa Elgzira na alianinishwa wa tatu ulimwenguni .
Ujumbe
ulimjumuisha Amir wageh
mkuu wa kiufundi wa mafarao wa Skwashi na idadi ya
wachezaji ,na timu ya kitaifa ya Skwashi inajiaanda ili kuingia
katika michuano ya dunia
katika washinton itakayofanyiwa mwezi
wa Desemba ujao ,
na timu ya kitaifa inakusanya hawa : Ali farg mchezaji
wa Wadi Degla na aliyeainishwa wa
kwanza ulimwenguni , Tarek
Moameen aliainishwa wa
tatu na bingwa
wa dunia , Karem
Abdelgwad aliyeainishwa wa
nne , Muhamad aliainishwa
wa nane na Marawan
Elshirbagy aliainishwa wa
kumi .
Moamen alikuwa ameshinda
katika mechi ya fainali
mbele ya mshindani wake wa New Zealand " Bol Col
" aliyeainishwa wa tano
ulimwenguni kwa mabao
matatu safi katika mechi
iliyochukua dakika 39 na tija za
mechi zimekuja kama
yafuatayo : ( 8- 11), (3,11)
,(4,11) .
Na hilo
linazingawa toleo la
nne mfululizo linalomheshimwa na mchezaji
wa Misri , kareem
Abdelgwad mchezaji wa klabu la
ElAhly alikuwa ameheshimiwa
kwa jina hilo katika
mwaka 2016 . Vilevile , Muhamad
Elshurbagy aliheshimwa kwa
michuano ya dunia
katika mwaka unaofuata
2017 , na Ali Farg alipata
jina la toleo lililopita .
Comments