Timu ya taifa kwa mpira wa ukumbi inamaliza kambi lake lililoendelea kwa siku sita ;miongini mwa programu wa maandalizi kwa kufanya ushindani kwa ubingwa wa umoja wa Afrika nchini Morocco 2020 itakayofayika Januari ijayo.
Timu ya taifa inafaya mazoezi yake kwenye ukumbi unaofunika
katika klabu ya Madinat Nasr chini ya usimamizi mwenyekitu wa ufundi Hesham
Saleh na Nader Rashad kocha mkuu na Adel Abdel Hadad daktari wa timu na Mohamed
Darwish mtaalamu wa Uwezeshaji.
Orodha ya timu inajumuia wanachezaji 16 hawa ni ; Gamal Abd el Naser, Mahmoud Abd el wahab, Abdel
rahman Abas ,Motaz Bellah Sami, Mostafa Eid,Ahmed Abdel kader,Abdelrahman
Eid,Mohamed Monsor,Saber Said,Moamen Abdelraouf,Mohanad Hanafi,Mohamed
Abdelhamid,khalid Abdellah, Mostafa Abdelhamid,Mohamed Said,Ebrahim Awad.
wakati wa kambi lile
Hesham saleh alizingatia kwa pande za mwilli na ufundi na alisisitiza kwa kiwango cha
baadhi ya wachezaji hasa Saber Said ambaye kiwango chake kilichaongeza
kwa njia wazi na Mohamed Mansor aliyerejea kwa timu baada ya muda ya
kutokuwepo;pamoja na watatu chini ya umri
walizaliwa mnamo 2000 waliojiingi kwa timu juzi juzi wao ni Abdelrahman
Abas ,Mostafa Abdelhamid na Moamen Hemdan.
Hesham Saleh alisisitiza kwamba litekeleza ufaidi mkubwa
kupitia na kambi hili akiashiria kwamba wote wanalenga kushinda kwa lakabu ya
michuano ya Afria ijayo.
Aliashiria kwamba timu ya ukumbi ilipata mwito kwa kupambana
timu ya Saudi Arebia siku ya 24 mwezi wa Novemba kwa urafiki na inangoja
mwafaka wa baraza la utawala wa ushirikiano ikiwa na hivyo kufanya mawasiliano kwa baadhi ya madola
kama;Romania,okrania,ujiremani kufanya mlolongo wa michezo ya mataifa kabla ya
ubingwa na hiyo pamoja na makambi mawili yatakayofanywa Desemba ijayo.
Hesham saleh alitoa shukrani kwa baraza la utawala wa
shirikiano wa mpira inayowakilishwa na Dokta Sahar Abdelkhalek msimamizi kwa
mpira wa ukumbi akiashiria kwa juhudi zake na na msisitizo wake kwa kutekeleza
mahitaji ya timu ya kitaifa.
Ikitajwa kwamba timu ya Misri kwa mpira wa ukumbi inachukua
nafasi ya 21 katika kiwango cha mataifa na nafasi ya kwanza kama nchi ya Afrika
na kiarabu na nafasi ya pili kwenye michuano ya mataifa ya Afrika iliyopita.
Comments